miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
ndio mana nilisema wanawake akili zenu moja Na hamna huruma mumewe alijitoa waishi maisha mazuri kapata matatizo sasa Ana achia watu wanamlia jamaa tunda tena Kwa matangazo dunia nzima ijue. Amakweli wanawake tuishi Na nyie Kwa wema but sio watu nyie
Nitasema kweli daima
Mchuma janga???ukimalizia utapata jibu