Kajala na Clement Mambo Hadharani


Nipo mamii,naona unanizungushia ukuta wasikuibie.....jitahidi wachakachuaji wengi wanakaba hadi penalty!
 
Ndio urafiki wa mjinii huoo rafiki anaweza kukuibiaa hara mume wa ndoaa na ndoa ikavunjika mume akakuhama kabisaaa Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Yote yanawezekana make habari zote source ni udaku...

Kuhusu suala la wema kung'ang'ania gari la kaka clement wakat yupo na diamond sio udaku ni ukweli kabisa.

Huyo diamond kama alimpa marehemu gurumo(rest in peace) zawadi ya fun cargo kwanini asimnunulie wema ata brevis ya mil 11 ?? , ivi diamond anajisikiaje kuona manzi wake akiendesha gari la hawara mwingine , labda kama hana mpango na wema na yupo ki nyota zaidi
 
Halafu huyo CK mwenyewe muathirika wacha awape ngoma tu mpaka waharishe ndiyo wakome
 
Kweli hii bongo movie madirector wapo lakini watoe movie?
 

hapo mwisho umejichanganya nenda ukahakiki vyanzo vyako. Ukweli wema ndo alimuacha CK baada ya diamond kumpa condition hyo na kimtangaza kwenye party ya watoto ya xmass au mwaka mpya kama sikosei. Uzuri ni kwamba yeam wema tuko full kwa data. So ukipndisha tinajua umepindisha.
 
Watu wambeyaaaaaaa

Khaaaaa

Halafu full umbea wa insta

Muwe na jioni njema
 

Uliza chanzo cha yule director wa wema chidy classic kufukuzwa kazi , unadhan ni kwa sababu ya kutumia magar ya madame kama guest house kama walivyodai? , hiko chanzo chako nilikisikiag binamu long time ,Mimi izi ndo kaz zangu binamu...

Nenda kaombe u best na chid classic atakumwagia umbea wote wa madamme najua martin nae anajua ila hawez kukwambia.
 
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…