Kajala na Clement Mambo Hadharani

Kajala na Clement Mambo Hadharani

Huyu kajala sindio alilipiwa Na wema faini ya milioni kumi na mumewe alifungwa sababu ya nyoso. Sasa kaamua kumsaliti mumewe kikweli. Kweli wanawake mashetwani hawana hata huruma tamaa tu imewazidi

Nitasema kweli daima

Kuacha kazi si kazi bali kupata kazi ndo kazi.Kajala kaipata kazi aiche???kulipiwa faini ndo kigezo cha kuchagua kazi??
 
Kwanza tuongee ukweli , dunia ya sasa iv asiyetaka hela Nani?? , watu wanamuonea wivu kajala , maana sasa ivi anamilik magar mawili , Toyota Lexus kama ile ya kaka Clement aliyomuachia wema la pink na Toyota brevis , chezea kajala wewe
kama ni kweli na huyo CK ndo mtoaji bac akapimwe akili, c bure... atakuwa na some psycho thing related to massive expeniture 4 sex!... huko c kuhonga ni ugonjwa...angekua Barekhsa c angemfungulia benk kabisa na kumjengea bandari na meli juu!
 
Kuacha kazi si kazi bali kupata kazi ndo kazi.Kajala kaipata kazi aiche???kulipiwa faini ndo kigezo cha kuchagua kazi??

Ninachosema mumewe anamatatizo asietulia akamuombea mumewe yeye analiwa tunda la kati tu. Hazarani halafu wewe unamsaport

Nitasema kweli daima
 
Halafu me sijui ndo nina roho ngumu, yani shoga angu atembee na mpenzi wangu? Hata kama tumeachana ntaroga mtu wallahi....tena ntamgeuza kuku wa mayai atage asubuhi na jioni.
 
Kinachoendelea hapa ni ushabiki tu mi siafiki hata dakika sifuri
shemeji will always be shemeji no matter what
siwezi kubadili shemeji akawa baby never ever
hata kama waliachana miaka mia
 
Huo ni zaidi ya ufuska kwakweli....
 
kajala ana pesa asikwambie mtu , maana sasa ivi na yeye anamilik kampuni yake , wema mwenyew alikuwa anasaidiwa na kajala mambo madogo madogo we unadhan wema alikuwa hajui kama kajala anatoka na clement?? Mashabik maandaz wa wema ndo wa mwisho kujua , na hela za clement walikuwa wanakula bata wote , sema kajala alianza kumdharau wema kwa kuwa alikuwa maimuna hana mbele wala nyuma yaan ndomo nuksi binamu?? ,
samahani warumi ningependa kujuwa jinsia yako halisi na pili kwa level yako ya umbea ungetuwekea hapa picha ya nyumba anayomiliki clement na assets zake ingependeza zaidi.

maana huyu bwana si mfanyabiashara na ninachojuwa hakuna mfanyakazi tajiri dunia hii.

mwenye taarifa sahihi za mtu huyu aziweke hapa majina yake kamili, ofisi aliyoajiliwa na itanoga zaidi ikiwekwa physical address, then ndio mtajuwa think tankers umbea wao uko kwenye level gani na unaweza kuleta matokeo gani.
 
Kinachoendelea hapa ni ushabiki tu mi siafiki hata dakika sifuri
shemeji will always be shemeji no matter what
siwezi kubadili shemeji akawa baby never ever
hata kama waliachana miaka mia

Kwa bongo movie haupo ushemejiii eve
 
Michepuko ya tandale watu hawaitak binamu , huon ndomo alivyokuwa mbahili vile ??

Huku watu wagumu kidadadeki, raha tupate wote halafu na hela juu....ahhh wapi!
Mibuzi ya huku imekomaa ngozi haichuniki.....haishobokei K.
We humuon kaka yetu Chibu kawala kina Wolper, Uwoya, Kidoti na hata baskeli hajawanunulia.......hahahaaaa.
Halafu ladha ya K ile ile, washamba tu ndo wanahonga magari.
 
Kinachoendelea hapa ni ushabiki tu mi siafiki hata dakika sifuri
shemeji will always be shemeji no matter what
siwezi kubadili shemeji akawa baby never ever
hata kama waliachana miaka mia

Clement ni mume wa mtu , nyie shemej yenu diamond
 
samahani warumi ningependa kujuwa jinsia yako halisi na pili kwa level yako ya umbea ungetuwekea hapa picha ya nyumba anayomiliki clement na assets zake ingependeza zaidi.

maana huyu bwana si mfanyabiashara na ninachojuwa hakuna mfanyakazi tajiri dunia hii.

mwenye taarifa sahihi za mtu huyu aziweke hapa majina yake kamili, ofisi aliyoajiliwa na itanoga zaidi ikiwekwa physical address, then ndio mtajuwa think tankers umbea wao uko kwenye level gani na unaweza kuleta matokeo gani.

Kuhusu suala la jinsia kawaulize ma mods nadhan watakusaidia mkuu..
 
Heheeee, na nyie shemeji yenu si yupo jela au?

Ndio maana yake , kwan hujui kajala yupo na clement kwa ajili gani ?? Yaan nyie kitendo cha wema kutoka na mume wa mtu ndo hakiwaumi ila kajala kutoka na ck ndo mnaumia , kwanza mbona madame hakuwah kulalamika kama nyie??

Kajala na wema ni Malaya wa kutupwa , huyo kajala alitoka had na mume wa shamim , yaan in short kajala na wema wamekubuh kwa umalaya , hatushabikii mtu apa , huyo wema nae ndo balaa
 
Huku watu wagumu kidadadeki, raha tupate wote halafu na hela juu....ahhh wapi!
Mibuzi ya huku imekomaa ngozi haichuniki.....haishobokei K.
We humuon kaka yetu Chibu kawala kina Wolper, Uwoya, Kidoti na hata baskeli hajawanunulia.......hahahaaaa.
Halafu ladha ya K ile ile, washamba tu ndo wanahonga magari.

KIDOTI alikuwa compansated kwa Daimond kupita jukwaan na design za Kidoti kwenye fasion show na kisha kuuza nyago kwenye video ya Nimpende Nani!
 
Ndio maana yake , kwan hujui kajala yupo na clement kwa ajili gani ?? Yaan nyie kitendo cha wema kutoka na mume wa mtu ndo hakiwaumi ila kajala kutoka na ck ndo mnaumia , kwanza mbona madame hakuwah kulalamika kama nyie??

Kajala na wema ni Malaya wa kutupwa , huyo kajala alitoka had na mume wa shamim , yaan in short kajala na wema wamekubuh kwa umalaya , hatushabikii mtu apa , huyo wema nae ndo balaa

Hatukatai Wema malaya lakini kwa hili kajala kazidi, yaani kabisaaa kaenda kutembea na mtu alotembea na shoga ake...ptuuuu!
Inatia kinyaa kuchovywa na mtu alomchovya shoga ake, tena shoga wa kupika na kupakua....loh.
Ushoga wa mjini kweli mgumu....ndo mana mimi mpenzi wangu namuweka mbali na mashost.
 
Tena mume weka mbali na mashostiii hata ndugu anakuibia sembusee marafikii ni mwanaume tu kama malaya hata umfiche kwenye chupa atahepa na kizibo chezeaaaaaa
 
Ila huyo shost angekataa angembaka au? Halafu hakuna mwanaume anaekataa chiu hata siku moja, shost akijipeleka analiwa tu....! Kwa hiyo ukiona shoga ako kakuchukulia bwana ujue alidhamiria.

Ndo mana naupenda ule wimbo wa marehemu Issa Matona anakwambia Ndugu zako wakaribishe chumbani, mashemeji sema nao barazani, mashoga sema nao dirishani.....!
 
Back
Top Bottom