Kajala na Paula wana gundu gani?

Kajala na Paula wana gundu gani?

Hawa mastaa wanaharibu wasichana wanaowaona ni ma roll model wao. Wasichana chipukizi wataona mitindo ya maisha hasa mahusiano yao kuwa ni fasheni kuishi bila ndoa maalum, usingo mama wa kujitakia, mapenzi ya hovyo kila uchao ni kubadilisha mpenzi. Sasa huyo mwanae na yeye atakopi na kupesti tabia ya mama yake. Mtoto anakua huku anaona upuuzi wa mama yake kuwa ndiyo maisha yenyewe. Watu watajilia na kupita zao wanaacha hapo no matter watapatiwa mtoto. Mastaa wamekuwa ni wa hovyo sana katika suala la mahusiano neno ndoa ni msamiati usiokuwa na maana kwao
 
View attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.

Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.

Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.

Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.

Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.

Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.

Je, hili sio gundu lililopindukia?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Umeongee point ila SAS tuweke subira Mario ni msaani mkubwa tishio ajaye

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Embu nipe orodha yao mkuu kipindi Ana danga sikuwa na Simu mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
1. Steve kànumba
2. TID
3. Diamond planumz
4. Omy dimpoz
5. Munana luis (mnamibia)
6. Idris sultan
7. Calisa
8. Chaz baba
9. Whozhu
10. Clement
11. Mwarabu wa Dubai (simkumbuki jina)
12. Kusah
13. Ay

Asilimia Kubwa alidate nao wakiwa hawana kitu, ila mpk wanaachana walishakua na kitu
mf: platnumz,tid, dimpoz,calisa,kusah

Hata aliowakuta Wana kitu, mpk wanaachana hamna aliefilisika
mf: mwarabu,Idris,Clement,whozhu,Chaz baba[emoji4]

Ilifikia kipind Watu wakawa wanagombea TU kumuonja wema Ili mambo yao yawanyookee[emoji4]
 
Watu wa dar bhana 😀
 
Usiniambie kusah kamla sema?
Ova
 
Kama Kuna kaukweli ndani yake,Kuna wanawake Wana mabalaa yaani gundu hatari.
 
1. Steve kànumba
2. TID
3. Diamond planumz
4. Omy dimpoz
5. Munana luis (mnamibia)
6. Idris sultan
7. Calisa
8. Chaz baba
9. Whozhu
10. Clement
11. Mwarabu wa Dubai (simkumbuki jina)
12. Kusah
13. Ay

Asilimia Kubwa alidate nao wakiwa hawana kitu, ila mpk wanaachana walishakua na kitu
mf: platnumz,tid, dimpoz,calisa,kusah

Hata aliowakuta Wana kitu, mpk wanaachana hamna aliefilisika
mf: mwarabu,Idris,Clement,whozhu,Chaz baba[emoji4]

Ilifikia kipind Watu wakawa wanagombea TU kumuonja wema Ili mambo yao yawanyookee[emoji4]
Umesahau kumbe, halafu pia wanasiasa mpaka yule mtoto pendwa wa Ile awamu walipiga, liwema Lina ngeks balaaa (ngekewa) wanasiasa wamepiga balaa na Kila alopita nae alifanikiwaaa... Kuna yule dogo wa majembe auction alipita na wema wakawa matajiriii

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kumbe, halafu pia wanasiasa mpaka yule mtoto pendwa wa Ile awamu walipiga, liwema Lina ngeks balaaa (ngekewa) wanasiasa wamepiga balaa na Kila alopita nae alifanikiwaaa... Kuna yule dogo wa majembe auction alipita na wema wakawa matajiriii

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Jumbe

Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.

Ommy Dimpoz katoboa kupitia uchumi wake ulio nyuma kati kati ya makalio.
 
Binafs hata kama wema kaisha kawa mbaya, ila akinitengea leo nami napiga chap siwazi maana nyota anayo[emoji4]
 
Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.

Ommy Dimpoz katoboa kupitia uchumi wake ulio nyuma kati kati ya makalio.
Kutoboa hakuna formula,
Kinachoangaliwa Ni nyota ya mtu husika

Hata Kama unasomba mavi,
ukipata dili za mabilioni kwny hayo hayo mavi unayosomba bado utahesabika umetoboa kupitia nyota yake[emoji4]
 
Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.

Ommy Dimpoz katoboa kupitia uchumi wake ulio nyuma kati kati ya makalio.
By that time wakiwa nae walitoboa,
Walikuja kuyumba kwa wengine uko mbele
 
View attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.

Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.

Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.

Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.

Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.

Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.

Je, hili sio gundu lililopindukia?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Makahaba mara zote huwa na gundu,
 
Back
Top Bottom