Ayanda85
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 628
- 566
Nitafute tumpe cheque yake
mi naomba nusu ya hiyo ya kajala ...inanitosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute tumpe cheque yake
Hizo kumi na tatu alizokulipia zilitoka mfukoni kwangu c kwake.. Sasa kama anakucmanga kwa hela ambayo yeye alikuwa muwakilishi niko tayari kuzitoa tena kwa mata ya pili
Ngoja kwanza tukatafute tarumbeta
hiyo inaitwa shukrani ya punda ni mateke. huyo kajala hana shukrani. anajifanya kuchonga baada ya kusaidiwa
Si azirudishe yaishe!? Kwanini aendelee kukaa na jakamoyo rohoni!?
Aende kwa Wema na sandarusi la minoti na kigodoro juu akifika ambwagie amwambie bibie nimechoka na shobo zako mihela yako hiyo hapo....akimaliza aondoke akisindikizwa na wimbo maarufu wa MAMA AMINAAAAAA.......!!!!!!!

tarumbeta za nini tena?
Kaka kama unaishi mwananyamala, tandale au mburahati!!!!
Ha ha haaaaa. Hubby umeuaaaa
hahaaaaaaa kwweli kabisa
kajala keshavuka mto eeee!!
lakini akumbuke kuwa shida zina miguu....