Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute tumpe cheque yake
Si azirudishe yaishe!? Kwanini aendelee kukaa na jakamoyo rohoni!?
Aende kwa Wema na sandarusi la minoti na kigodoro juu akifika ambwagie amwambie bibie nimechoka na shobo zako mihela yako hiyo hapo....akimaliza aondoke akisindikizwa na wimbo maarufu wa MAMA AMINAAAAAA.......!!!!!!!
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe

Yaani hawa wasanii hawajaangaika na macourse work wala assignment na test lakini wanakula hela ya kutosha

Thamani ya ile hela aliyotoa Wema hawezi kuilipa ni bora aache tu hata kuiongelea maana hata ukiilipa leo haitakuwa sawa na alivyokuoankipindi kile alipokuepusha na jela. Pia huyo Wema hapaswi kuiongelea kwani thawabu aliyoipata toka kwa Mungu inaondokabanaponung'unika
Utamchukiaje mtu kwa mwanaume asiye wako? Wote walikuwa makahaba tu wanajiuza, huyo wema aache ujinga huyo jamaa mwenyewe ana mke
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri
Tehee tehee na wao wana course work na assignment zao swahiba unadhani kubeba ngada mchezo na usisahau wanavyoweka miguu mtindo wa V kwa mapedeshee wapite kati walipwe ni UE tosha au haujui wasanii wa kiume nao wana wanaume zao wanasurubika haswaaa sema maisha ya IG yanawabeba.