Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Si azirudishe yaishe!? Kwanini aendelee kukaa na jakamoyo rohoni!?
Aende kwa Wema na sandarusi la minoti na kigodoro juu akifika ambwagie amwambie bibie nimechoka na shobo zako mihela yako hiyo hapo....akimaliza aondoke akisindikizwa na wimbo maarufu wa MAMA AMINAAAAAA.......!!!!!!!

Tena atukodishe tunaenda na video camera juu na vigodoro, hahahaah
 
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe

Utamchukiaje mtu kwa mwanaume asiye wako? Wote walikuwa makahaba tu wanajiuza, huyo wema aache ujinga huyo jamaa mwenyewe ana mke
 
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe

Utamchukiaje mtu kwa mwanaume asiye wako? Wote walikuwa makahaba tu wanajiuza wanaoneana wivu kitu gani , huyo wema aache ujinga huyo jamaa mwenyewe ana mke wake
 
Yaani hawa wasanii hawajaangaika na macourse work wala assignment na test lakini wanakula hela ya kutosha

Tehee tehee na wao wana course work na assignment zao swahiba unadhani kubeba ngada mchezo na usisahau wanavyoweka miguu mtindo wa V kwa mapedeshee wapite kati walipwe ni UE tosha au haujui wasanii wa kiume nao wana wanaume zao wanasurubika haswaaa sema maisha ya IG yanawabeba.
 
Hizo kumi na tatu alizokulipia zilitoka mfukoni kwangu c kwake.. Sasa kama anakucmanga kwa hela ambayo yeye alikuwa muwakilishi niko tayari kuzitoa tena kwa mata ya pili
 
Alipe sasa anasubir nn wema anaroho nzuri kuliko yeye mwenzie kamfanyia wema ye kamlipa mabaya
 
Si azirudishe yaishe!? Kwanini aendelee kukaa na jakamoyo rohoni!?
Aende kwa Wema na sandarusi la minoti na kigodoro juu akifika ambwagie amwambie bibie nimechoka na shobo zako mihela yako hiyo hapo....akimaliza aondoke akisindikizwa na wimbo maarufu wa MAMA AMINAAAAAA.......!!!!!!!

hahaaaaaaa kwweli kabisa
 
Thamani ya ile hela aliyotoa Wema hawezi kuilipa ni bora aache tu hata kuiongelea maana hata ukiilipa leo haitakuwa sawa na alivyokuoankipindi kile alipokuepusha na jela. Pia huyo Wema hapaswi kuiongelea kwani thawabu aliyoipata toka kwa Mungu inaondokabanaponung'unika

mpk sasa wala hakuna thawabu tena
maana anafanya ria huyo wema na bora airudishe tu maana kila siku anaiongelea
 
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe

Alimchukulia Wema bwana? CK alikua bwana au hawara wa wema? Alimshikia bunduki?
 
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri

Kumbe tatizo lilikua buzi.Kajala hana haki ya kunyanyasika for the rest of her life buanaa
 
Tehee tehee na wao wana course work na assignment zao swahiba unadhani kubeba ngada mchezo na usisahau wanavyoweka miguu mtindo wa V kwa mapedeshee wapite kati walipwe ni UE tosha au haujui wasanii wa kiume nao wana wanaume zao wanasurubika haswaaa sema maisha ya IG yanawabeba.

Hahaha kweli kazi ta V naona ni burudani tu wanajipatia.ila ya ngada kweli ni ngumu. In general usuperstar ni kazi nzito
 
Back
Top Bottom