Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Hizo kumi na tatu alizokulipia zilitoka mfukoni kwangu c kwake.. Sasa kama anakucmanga kwa hela ambayo yeye alikuwa muwakilishi niko tayari kuzitoa tena kwa mata ya pili

kuna namna iliyofanya usipeleke wewe apeleke Wema...sizifagilii tabia za Wema but Kajala is worse than Wema,Kajala ni mwanamke mnafiki sana
 
hiyo inaitwa shukrani ya punda ni mateke. huyo kajala hana shukrani. anajifanya kuchonga baada ya kusaidiwa
 
mda wote huu unaoangea kwenye social media angesha mtumia kwa m pesa, tigo chap asitusumbue
 
hiyo inaitwa shukrani ya punda ni mateke. huyo kajala hana shukrani. anajifanya kuchonga baada ya kusaidiwa

Ata mimi ningekuwa kajala ningejuta kwa kweli, kumsaidia mtu isiwe fimbo ya kumchapia, kingine huyo CK hakuwa mume wa wema ata yeye alimuiba kwa mtu, what goes arround comes arround
 

Ha ha haaaaa. Hubby umeuaaaa
 
Ni kweli amlipe maana anasimangiwa hataree hatukatai kua alisaidiwaaa lakin wema alitaka kajala awe chini yake yaan amtumie anavyotakaa yeyee
 

Kaka kama unaishi mwananyamala, tandale au mburahati!!!!
 
Pole Kajala. Fanya ufanyalo uzirejeshe kwa njia mbadala siyo lazima umlipe cash, waweza kumnunulia Vitz au Cheni ya dhahabu yenye thamani ya kiasi hicho na kumvisha siku ya HBD yake
 
kajala keshavuka mto eeee!!
lakini akumbuke kuwa shida zina miguu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…