Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

Wala hana roho ngumu ni muhuni aliyekosa mbinu za ziada saiv kabaki kubebwa na kiki za kajala na mwanae. Pfunk anafata camera pale na sio tukio husika
 
Aiseee unasema p funk hana mipango?
Mtu anayemuongelea raia anaemiliki nyumba Masaki ushuani ambaye elimu tu aliyosomea ni level moja na elimu ya ulaya kwamba hana mipango ni jambo la kushangaza sana 😂.

Mtu ambaye ameweka alama kwenye muziki wa kitanzania kwa takribani miaka 20. Ana jina kubwa tu hakuna ambaye hamfahamu P.Funk majani Tanzania hii halafu isemwe kuwa hana mipango kweli?

Huyo mtoa comment ni kolowezi mmoja ambaye anaishi Kitunda na hata ndoto ya kumiliki kibandaumiza cha kuuzia soda na keki Masaki hawezi kuitimiza.
 
Wala hana roho ngumu ni muhuni aliyekosa mbinu za ziada saiv kabaki kubebwa na kiki za kajala na mwanae. Pfunk anafata camera pale na sio tukio husika
Unajua tafsiri ya muhuni kweli?
Mtu ameoa ana mke na familia kisha unamuita muhuni?

P Funk anabebwa na kiki au ameenda kushiriki kwenye hafla ya mjukuu wake? Ifikie mahali mtumie hata akili kidogo mlizobakiwa nazo.
 
Ulaya hakuna wapuuzi kwa sababu ya elimu yao?
 

Hana hela ni jirani yangu Njiro
 
Mwamba kajikaza sometimes ndio tunataka wanawake wazuri,ila tuangalie wanawake wakuzaa nao. Sasa huyo Kajala anakili kabisa Konde alimtongoza Paula na Paula akathibitisha ni kweli. Still bado unamwalika shughuli ya mtoto, sijui waliwaza nini ndio tabu ya kuzaa na wadangaji wengi hawajielewi.
 
Dah! Pole sana ndugu. Inaonekana umeumia sana kwa kutoolewa wewe. Vumilia lakini, wataachana tu muda si mrefu! Lakini hata hivyo, walivyoachana mara ya kwanza kwanini hukuitumia fursa ile nawe!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…