Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

P funk nae hana Mipango Aisee, unaendaje kwenye Birthday ya Mjukuu yenye mambo ya Ovyo vile, If i were him nisingepeleka hata Pua, Ningesubiri Mpaka Mjukuu akue aje kwangu Nimfanyie Bday illa sio ule upuuzi wa Kuchoreshana, Sema Ndio Ivo Ukiwa huna Mipango hata misimamo na ratiba unakosa aisee
Na yeye anaendaje kwenye birthday ya mjukuu wake mwanamke wake kavaa kisidiria na kikaptula 🐒
Kama anaheshima hyo unayotaka apewe..
 
Wewe ndo mke wa p funk mbona una povu utadhani nimkuquote. Majani unamfahamu leo keshazeeka mtu katorosha mwanafunzi kazalisha leo unataka kumsafisha kisa kaoa mmh nyoko zako
Unajua tafsiri ya muhuni kweli?
Mtu ameoa ana mke na familia kisha unamuita muhuni?

P Funk anabebwa na kiki au ameenda kushiriki kwenye hafla ya mjukuu wake? Ifikie mahali mtumie hata akili kidogo mlizobakiwa nazo.
 
Mwamba kajikaza sometimes ndio tunataka wanawake wazuri,ila tuangalie wanawake wakuzaa nao. Sasa huyo Kajala anakili kabisa Konde alimtongoza Paula na Paula akathibitisha ni kweli. Still bado unamwalika shughuli ya mtoto, sijui waliwaza nini ndio tabu ya kuza na wadangaji wengi hawajielewi.
Watakuwa na ajenda ya siri kumjomia au kumfirisi jamaa
 
Back
Top Bottom