uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Makaburini mbali sana. Mtu akishapita Kontena itamkwe anaishi Mkonoo au Muriet..
Haukujui Arusha we fala, Njiro Makaburini ni chini ya ghorofa mbili hata round about Bado ujafika
Makaburini mbali sana. Mtu akishapita Kontena itamkwe anaishi Mkonoo au Muriet..
No mimetolea mfano kuwa Bado watu wanalipa Kwa dolari ijapo UN haipoSasa si PPF ndugu yangu, kwa hiyo PPF ndo njiro pekee?
Sio ilibuma, sema alikukimbiza haukuwai kurekodi na vijimbo vyako vya kibwege, wapumbavu kitaa wanakusifia kuwa mwanaaaa unajua kuimba kumbe ni kimeo tu haujui kuimba.Namuonea huruma P Funky,aliwahi kunirekodia single mwaka 2000 sema ilibuma tusipoangalia tutampoteza kwa sonona
Wewe K inayonuka siko hapa kukuthibitishia kuwa naijua au siijui Arusha.Haukujui Arusha we fala, Njiro Makaburini ni chini ya ghorofa mbili hata round about Bado ujafika
Hawara hana talaka, ukimtaka unampata.Namuonea huruma P Funky,aliwahi kunirekodia single mwaka 2000 sema ilibuma tusipoangalia tutampoteza kwa sonona
Wewe K inayonuka siko hapa kukuthibitishia kuwa naijua au siijui Arusha.
Acha wivu wa kike wewe, kukupa fact ndio kisa cha kuniita mimi mke wa P funk.Wewe ndo mke wa p funk mbona una povu utadhani nimkuquote. Majani unamfahamu leo keshazeeka mtu katorosha mwanafunzi kazalisha leo unataka kumsafisha kisa kaoa mmh nyoko zako
Badilisha sio Ovyo ni hovyo....akili mnemba .kizazi hiki tunakipoteza kiswahili sanifu.....KajalaKama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.
P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia moyoni EX wako kuolewa na mtu ambaye ushamba haujamtoka ni mateso
Kijana wa miaka 30 huna mtoto au una mtoto mmoja unaoa bibi aliyeingia kwenye menopause ??
Juma LokoleMmh wanaume sifa Yao kubwa ni kufatilia vipind vya michezo hiyo ndo sifa moja wapo ya wanaume Sasa umkute mwanaume anafatilia maisha ya watu sijui wasanii mh mmh labda mwandishi wa habar
Kajala toka oysterbay..jitegemee ,silaha yake kubwa tako hana kingineKama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.
P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia moyoni EX wako kuolewa na mtu ambaye ushamba haujamtoka ni mateso
Kijana wa miaka 30 huna mtoto au una mtoto mmoja unaoa bibi aliyeingia kwenye menopause ??
Kaanza kutuma nini kitambo?Ila kajala kaanza kutuma kitambo sana enzi hizo, bills anacheza Gauo..kajala,alice na rose ,dah kajala anatakiwa astaafu
Hahahahaha,dah hahahahaMmh wanaume sifa Yao kubwa ni kufatilia vipind vya michezo hiyo ndo sifa moja wapo ya wanaume Sasa umkute mwanaume anafatilia maisha ya watu sijui wasanii mh mmh labda mwandishi wa habar
SupuKajala toka oysterbay..jitegemee ,silaha yake kubwa tako hana kingine
Walikua wanaishia getini tuSio ilibuma, sema alikukimbiza haukuwai kurekodi na vijimbo vyako vya kibwege, wapumbavu kitaa wanakusifia kuwa mwanaaaa unajua kuimba kumbe ni kimeo tu haujui kuimba.
Acha hasira za kufukuzwa studio.
Na mnambaabaikia msio mjua tuliobahatika enzi kijana wa moto, sleep way ,tazara, na bills ,tunacheka tuSupu
Kizazi hiki kinapenda hao mabibiNa mnambaabaikia msio mjua tuliobahatika enzi kijana wa moto, sleep way ,tazara, na bills ,tunacheka tu