Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha wanamuona mpya ?Kizazi hiki kinapenda hao mabibi
Hahahaha wanamuona mpya ?Kizazi hiki kinapenda hao mabibi
Mabibi ndio tena wenye mitako ndio inapendwa na vijana wa kizazi hikiHahahaha wanamuona mpya ?
Acha wivu wa kike wewe, kukupa fact ndio kisa cha kuniita mimi mke wa P funk.
ZuchuFact jukwaa la celebrities 😂😂😂 mental health is real
Kajala ni sawa tu na mademu wote wa Bongo movie, njaa inawasumbua mno. Yeye anafikiri kuwa na matako makubwa ndiyo dili, watu wanamchora tu.....atajiuza mpaka lini? harmonize ni kama vile alirogwa na Kajala, unalazimishaje mapenzi na mtu ajulikanaye kama cha wote ili iweje sasa? Kajala inabidi akamatwe na ndugu zake au watu walio karibu naye wamsaidie kisaikolojia kabla hajijiua, anasikitisha mno, hayuko sawa kiakili yule.Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.
P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia moyoni EX wako kuolewa na mtu ambaye ushamba haujamtoka ni mateso
Kijana wa miaka 30 huna mtoto au una mtoto mmoja unaoa bibi aliyeingia kwenye menopause ??
Hata mi namuona hayuko sawa kabisaKajala ni sawa tu na mademu wote wa Bongo movie, njaa inawasumbua mno. Yeye anafikiri kuwa na matako makubwa ndiyo dili, watu wanamchora tu.....atajiuza mpaka lini? harmonize ni kama vile alirogwa na Kajala, unalazimishaje mapenzi na mtu ajulikanaye kama cha wote ili iweje sasa? Kajala inabidi akamatwe na ndugu zake au watu walio karibu naye wamsaidie kisaikolojia kabla hajijiua, anasikitisha mno, hayuko sawa kiakili yule.
Kajala ana matatizo ya kiakili, sio bure. Kawaida mwanamke akishafikia umri fulani huku akichezewa na wanaume mara kwa mara kuna kipindi anajihisi kuchanganikiwa ni kama hivi ilivyo kwa kajala na Wema Sepetu.Hata mi namuona hayuko sawa kabisa
Kwa kweli Kajala inabidi akamatwe akapimwe akili, hayuko sawa yule mwanamke, anavyo onekana ni kama mwanamke aliyesongwa na msongo wa mawazo yale deep kabisa na hii bila kupata muafaka anaweza kujiua. Anahitaji msaada wa kisaikolojia, si mnamuona Wema alivyotekwa na ndugu zake kuchunguzwa akili? Hawa machangu wa bongo movie wanaondekeza kupigwa miti hovyo ili kubakia mjini wanaishia vibaya sana kwani wengi wao wanafanywa makafara bila wao kujijuwa, wanasikitisha mno.Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.
P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia moyoni EX wako kuolewa na mtu ambaye ushamba haujamtoka ni mateso
Kijana wa miaka 30 huna mtoto au una mtoto mmoja unaoa bibi aliyeingia kwenye menopause ??
Wivu wakati mtu hajitambui?Wivu tu. Nyie watu wa dar mpoje?
Wakati huo miaka hyo kwenye beach parry huyo kajala alikuwa anatukatikia mauno na kusasambuAHahahaha wanamuona mpya ?
Muonee huruma zaidi Omari (Marioo).Yaani unaenda kwenye shighuli ya kifamilia x wako anabusiana hadharani na mbwiga mmoja anayelingana umri na mwanao
E anakata viino hadharani??
X nwenyewe ana mjukuu,
Siwezi kwenda kwenye hiyo event
Angegoma kuhudhuria sherehe ya mwanawe au mjukuu wake angeonekana mbaya.Wala hana roho ngumu ni muhuni aliyekosa mbinu za ziada saiv kabaki kubebwa na kiki za kajala na mwanae. Pfunk anafata camera pale na sio tukio husika
🙄😂... kajala ni mema ya nchi! hii nchi ina vijana wa hovyo sana!acha kufoka foka kama fisi gizani, unataka tukuite fisi utulaumu fisi we mwache konde ale mema ya nchi.
Kumbuka uko jukwaa gani, mambo sio magumu hivyo.Ndio maana ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ni kubwa sana....watu wanabeba mambo mazito mioyoni mwao yasiyo wahusu kabisa
Imagine mtu anaumizwa kichwa na masuala ya hao watu kuliko hata wao wenyewe wanavyoumia
Ndio ndio ,kuna ishu moja tulimchukua kajala,alice biduga na Rose ,ruka nao sana Nam Nam enzi hizo iko hotWakati huo miaka hyo kwenye beach parry huyo kajala alikuwa anatukatikia mauno na kusasambuA
Ova
Hahaha,sio mbayaMabibi ndio tena wenye mitako ndio inapendwa na vijana wa kizazi hiki