Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.

P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia moyoni EX wako kuolewa na mtu ambaye ushamba haujamtoka ni mateso

Kijana wa miaka 30 huna mtoto au una mtoto mmoja unaoa bibi aliyeingia kwenye menopause ??
enzi hizo P Funk anamuiba Kajala kwa kaka yake na TID ulikua wapi?
 
Mwamba kajikaza sometimes ndio tunataka wanawake wazuri,ila tuangalie wanawake wakuzaa nao. Sasa huyo Kajala anakili kabisa Konde alimtongoza Paula na Paula akathibitisha ni kweli. Still bado unamwalika shughuli ya mtoto, sijui waliwaza nini ndio tabu ya kuzaa na wadangaji wengi hawajielewi.
Njaa ndugu yangu, njaa kitu kibaya sana. Ina dhalilisha.
 
Mmh wanaume sifa Yao kubwa ni kufatilia vipind vya michezo hiyo ndo sifa moja wapo ya wanaume Sasa umkute mwanaume anafatilia maisha ya watu sijui wasanii mh mmh labda mwandishi wa habar
We mwanaume ulitakiwa uwe jukwaa la michezo,mbona uko huku.
Kushabikia Yanga timu ya wenye akili wawili bora kuja huku.
Japo sijajua we ni me au ke ,kama ni me utaolewa muda si mrefu
 
Ndio ndio ,kuna ishu moja tulimchukua kajala,alice biduga na Rose ,ruka nao sana Nam Nam enzi hizo iko hot
Yule mwana IT wa bank aliingia mazima hapo mbn alijuta 😄
Na mvua alipigwa,sema harusi yao pombe tulizipiga hapo polis officers,ila mwana alionywaaa
Hakusikia
Maisha ya kajala kila siku anataka bday tu na Xmas


Ova
 
Ndio ndio ,kuna ishu moja tulimchukua kajala,alice biduga na Rose ,ruka nao sana Nam Nam enzi hizo iko hot
Alicw ana uhusiano na Mzee Biduga wa Tabata??? miaka ya 80 ndio alikuwa miongoni mwa matajiri wakubwa akiwa na kampuni ya ujenzi
 
P funk nae hana Mipango Aisee, unaendaje kwenye Birthday ya Mjukuu yenye mambo ya Ovyo vile, If i were him nisingepeleka hata Pua, Ningesubiri Mpaka Mjukuu akue aje kwangu Nimfanyie Bday illa sio ule upuuzi wa Kuchoreshana, Sema Ndio Ivo Ukiwa huna Mipango hata misimamo na ratiba unakosa aisee
P na harmo wanautofuti mdogo ila wote bado washamba
 
Yaani unaenda kwenye shighuli ya kifamilia x wako anabusiana hadharani na mbwiga mmoja anayelingana umri na mwanao
E anakata viino hadharani??
X nwenyewe ana mjukuu,
Siwezi kwenda kwenye hiyo event
Watoto wa mjini wanasema "kulinda brand" For sure i cannot atend a fu..... event like dis!!!
 
Humu watu kwa kujiendekeza eti bibi Kajala 😏😏 maana majority umri unadidimia tuu
 
L
P Funk alihamia Arusha? Mbona kama anaishi Njiro ni kiashiria kuwa ana hela?linii
H
Kajala ni sawa tu na mademu wote wa Bongo movie, njaa inawasumbua mno. Yeye anafikiri kuwa na matako makubwa ndiyo dili, watu wanamchora tu.....atajiuza mpaka lini? harmonize ni kama vile alirogwa na Kajala, unalazimishaje mapenzi na mtu ajulikanaye kama cha wote ili iweje sasa? Kajala inabidi akamatwe na ndugu zake au watu walio karibu naye wamsaidie kisaikolojia kabla hajijiua, anasikitisha mno, hayuko sawa kiakili yule.
harmo kafuata matako pale kuzaa hakupo mayai ya uzazi kalia chips,
 
Wewe ndo mke wa p funk mbona una povu utadhani nimkuquote. Majani unamfahamu leo keshazeeka mtu katorosha mwanafunzi kazalisha leo unataka kumsafisha kisa kaoa mmh nyoko zako
😂😂😂😂 kosa huwa linaonekana kwa mwanamke tu. Wakati majani ndio aliyeharibu future ya kajala. Ila hilo watu hawaoni.
 
P funk kama ni huyo Kajala kashakula hadi na makombo yenyewe mpk mifupa.
Kama wanawaza kumuumiza mi naona anaona hawa mafala sana ila anawachora tu.
 
Pfunk ameshindwa kusimama Kama Mwanaume Aisee, Unapelekwaje kwenye Sherehe ya Kijinga Vile na wewe unaenda, He failed to stand as a Man
Mwanaume ukiwa umeoa, hujihusishi na hizi agenda za maEX, ni kushusha hadhi yako kama mume kwa mkeo. Hapa alipuyanga.
 
Back
Top Bottom