Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?


WANAWAKE HAMPENDANI KABISA.
 
Alikosea sana
 
Msichana wa 1982 tayari yupo kwenye menopause!

Haiwezekani, hata zile dalili za menopause bado, tena bado sana na anazaa vizuri tu yule, sema kijana hamkunji akakigusa kuzazi anamuonea aibu!

Shida ni pale mwanaume unapotaka kumlala mwanamke hadi uanze na 'shikamoo' kuomba penzi kutokana na umri wa mke, hilo laweza kuwa chanzo cha kupiga mabao nje ya goli kwa kushoot kipumbaf pumbaf bila kujiamini.
 
Sasa Lastborn ana muaka 20.kuna kuzaa hapo
 
Tuliza jazba inawezekana una hoja lkn jazba ulonayo ndio inakufanya ucandike vzr mkuu.
 
Nilishangaa sana p funk kuhudhuria ile sherehe.
Mjukuu mwenyewe kapatikana kwenye uzinifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…