Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

wenye wivu wajinyonge leoooooo...
salome haichuji jamani.....!!!!!!!!
tusiongopeane
 
Huu wimbo nimeupenda sana..!
Sijawahi kuisifia KAZI yoyote ya Omary Nyembo...
Lakini hii imenikosha sana...
MUZIKI wetu unapiga hatua kubwa sana..!
Nawasubiri WCB...
Nao sijui watatuletea KITU gani..!
 
nasikia ana mashamba ya mpunga
 
Naupa wiki moja tu huwu wimbo baada ya apo utafata njia za zingine zilizopita kama
Nitulize
Nisamehe
Averina
Ubunifu zero plus same melody kwa kila nymbo
ndo shida ya hawa jamaa wanajua kuimba sana ila shida ni kwenye ubunifu yani mtu anatunga wimbo kama msanii chipukizi!
 
kuna light flani inaumiza macho!
Halafu umepoa kimtindo fulani yaani hata club kama sio mpenzi wa kucheza kwa ngoma hii hata kutikisa kichwa tu hauwezekani!
Angalia collabo chache za mond hivi karibuni kama
waache waoane
watoramali
salome
hata ukijizuia kucheza lazma utatikisa hata mguu tu! Bado ommy kwa zile levo zake hakutakiwa kuja na ngoma kama hii
 
WEWE NI NYUMBU,MBOWE MWENYEWE KILA SIKU ALIKUWA ANAPIGA NYIMBO ZA HAO WASANII WALIOPIGIA KURA CCM PALE KWENYE DANGURO LAKE BILICUS KABLA YA KUSOMESHWA NAMBA KWA UJANJA UJANJA NA UTAPELI.SASA WEWE KOMAA NA SIASA UCHWARA
 
Nimekuelewa baada ya kuvuta jike shupa na mboga 7. Dogo wawe wanampa chorus. Sauti anayo sana sana sana
 
Kiba nae kila colabo ye anakubali tu [emoji30]
 
Balaaa ballaaaa kweli huu wimbo sio mchezo nilichoshindwa kuelewa huu wimbo wa kajiandae ni wa nani maana alichofanya king kiba kule ndani daaah! Anajua sana kiba kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…