Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

Niliangalia jana usiku nikaona sio nzuri ila leo nimeiangalia nikaona ni booonge la ngoma....jana nilikuwa na wenge la usingizi.
 
wimbo mzuri....hongera kiba nimejikuta naurudia rudia
 
Hivi Kiba alikufanyaga nini?
ana majivuno halafu mtoto wa kiume akianza kuongea redioni huwa nazima
anaongea kama bosi
maswali ya kuulizwa anachagua
 
kwakweli
mimi hio tabia pia imenichosha...
wasanii wabadilike
mimi nilitokea kumkubali sana Chriss Bela
lakini sasa amenichosha kila mziki analia lia tuuuuu mpaka kero.

wasanii wa aina hii wapo wengi mno
Bora christian bella kuliko tunda khaaaa
 
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!



Mara nyingi huwa naskliza muziki wa kila aina bila kujali status ya msanii

Alikiba na Ommy Dimpoz wanafanya mziki ambao sio wa soko yan in short hauendani na soko la mziki la sasa hivi

Alikiba anaimba vizur ana saut nzur na kila mtu nadhan anafaham lakn anatoa nyimbo ambazo hazina ushindani katika soko

Hii ngoma [HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG] ni wimbo wa kawaida huwez kusema ni wimbo bora, mara mia ngoma yake ya ndagushima na tupogo

USHAURI: bwana ommy na kiba mna sauti nzuri ila zitumieni kutengeneza hit song.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…