Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Technically yessssssssSauti iko vzr, na wimbo hauchezeki kiviiiile in general ni ya kawaida sana, plus
watu wa light walizembea kuna sehem light imezidi sana kuliko kawaida
endelea kuotaSalome imechuja wiki ya kwanza
ana majivuno halafu mtoto wa kiume akianza kuongea redioni huwa nazimaHivi Kiba alikufanyaga nini?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] D'ass!Huyo video queen sio Cherokee D'ass kweli??
Siangaishi mb zangu
Cjawah kuona ommy dimpo kaimba nyimbo nzuri
Bora christian bella kuliko tunda khaaaakwakweli
mimi hio tabia pia imenichosha...
wasanii wabadilike
mimi nilitokea kumkubali sana Chriss Bela
lakini sasa amenichosha kila mziki analia lia tuuuuu mpaka kero.
wasanii wa aina hii wapo wengi mno
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!