ana majivuno halafu mtoto wa kiume akianza kuongea redioni huwa nazima
anaongea kama bosi
maswali ya kuulizwa anachagua
hata kuja kwako nina langu jambo japo ndio hivyo tuMmmh!! Una lako jambo!
Ulipotelea wapi ww maana jukwaa kama llpwaya iviKwa kweli bila kupepesa macho wimbo ni mbayaa
Tuwe wa kweli
Tatizo la huyu dogo omari ana vijitabia flani vya kike kike km dada zake ka snitch snitch na mikalio yke km shishi beiiibeee!!!Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!
Umeongea ukweli mtupu. Huu wimbo ni mzuri na ni bora sana. Jamaa wamejitahidi sana.Wapinzani hawakosekani hata wimbo uwemzuri kiasi gani watapinga kisa haujaimbwa na msanii wa team flani.Ushabik mwingine sio kama msanii kafanya vizuri mambo ya team tupa kule.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo ni nzuri
Video ni nzuri
Wasanii wameutendea haki
Video vixen ataitangaza zaidi uwepo wake.
Soon itaanza kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya Luninga Africa nzima.
AnhaaaaKwa level yao wamefanya vizuri
Aise kaimba ad anaboa... huyu jamaa anajua kuitumia saut yaje balaa, huu wimbo nakuambia utawika zaid ya miaka mitano 7bu ya hyo saut ya ally... ngoja tusubr upande wa pil kwa wivu nao watoe zile nymbo zao znazochuja baada ya wik km big g..Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!