Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

Kwa kweli bila kupepesa macho wimbo ni mbayaa

Tuwe wa kweli
 
ana majivuno halafu mtoto wa kiume akianza kuongea redioni huwa nazima
anaongea kama bosi
maswali ya kuulizwa anachagua

Mmmh!! Una lako jambo!
 
DIMPOZ KAFANYA KOLABO NA KING ZAMUNDA, AJIANDAE KAMA JINA LA WIMBO KUITWA KIBABE JUU YA STAGE KUIMBA KAMA ALIVYOWAITA KIBABE KINA MR BLUE JANA FIESTANI
 
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!

Tatizo la huyu dogo omari ana vijitabia flani vya kike kike km dada zake ka snitch snitch na mikalio yke km shishi beiiibeee!!!
 
Wapinzani hawakosekani hata wimbo uwemzuri kiasi gani watapinga kisa haujaimbwa na msanii wa team flani.Ushabik mwingine sio kama msanii kafanya vizuri mambo ya team tupa kule.
Umeongea ukweli mtupu. Huu wimbo ni mzuri na ni bora sana. Jamaa wamejitahidi sana.
 
Kajiandae-Dimpozi X Kiba
Lover boy-Barnaba
Nilipize-Ibra nation
Ni joints ambazo nime-download kwa ridhaa yangu na pia naweka repeat mode so far ni ngoma kali kwangu mimi ni mwanachama hai wa old skoolz na ndio zimejaa kwenye muzik device yangu.
 
Nyimbo ni nzuri
Video ni nzuri
Wasanii wameutendea haki
Video vixen ataitangaza zaidi uwepo wake.
Soon itaanza kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya Luninga Africa nzima.
 
Nyimbo ni nzuri
Video ni nzuri
Wasanii wameutendea haki
Video vixen ataitangaza zaidi uwepo wake.
Soon itaanza kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya Luninga Africa nzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku nikiona kuna kitu hujakisifia nita ki consider kama ni the wost thing to ever happen.

Yaan lazma we ni ndugu wa madam ritha
 
Huu wimbo ni wa nani?

Nani kamshirikisha mwenzie?
 
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya sana haijawahi tokea!!

Aise kaimba ad anaboa... huyu jamaa anajua kuitumia saut yaje balaa, huu wimbo nakuambia utawika zaid ya miaka mitano 7bu ya hyo saut ya ally... ngoja tusubr upande wa pil kwa wivu nao watoe zile nymbo zao znazochuja baada ya wik km big g..
 
Back
Top Bottom