mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
kwa hiyo huu wimbo ni mzuri?Timu ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo huu wimbo ni mzuri?Timu ipi?
Wimbo ni mzuri na Video ni nzuri LAKINI nao utafifia mara moja kama ule wa Salome ulivyochuja faster. Tatizo ni moja tu, wasanii hao wote waliipigia kampeni CCM ile mwaka jana ili watanzania tuisome namba, sasa ni zamu yao kuisoma namba pia.
Kwanza walipe Kodi.
Watanzania hatutakagi ujinga.
kwa hiyo huu wimbo ni mzuri?
Porn addictHuyo video queen sio Cherokee D'ass kweli??
[emoji13] [emoji13] [emoji13] vidogorBiti utazan ngoma za vidogor
Kabisa Mkuu! Nahisi kama kiba alipania sana huu wimbo yani mpaka kwenye video amejichetua chetua kidizaini flani hivi tofauti na kawaida yake ya kuwa mtulivu kwenye video.. Kwa ufupi wimbo ni wa kawaida sana! Ommy dimpoz watu wamemsubiria sana alafu ndio anarudi kidizaini hii, aisee [emoji17] [emoji17]Nimetoka kuusikiliza bado sijauelewa,Ommy atafute shughuli nyingine ya kufanya na kiba kama aliipania sana hivi matokeo yake ameharibu. KAMA WIMBO WAKO HAKUNA UNACHOPATA KWA KUKAA YOUTUBE BASI YOUTUBE SI MUHIMU,ILA KAMA HUWA UNALIPWA BASI YOUTUBE MUHIMU SANA.