Kwenye mahusiano ni amani mkuuUnataka nini haki au amani...!!
Mmh mimi nimeshangaa mno tangu nizaliwe sijawahi post picha niko na mwanaume kwenye mitandao duuh dunia ina viojaAnataka mtambuane kwa nafasi zenu.
Wewe ni bimkubwa na yeye ni bimdogo kwiayo utulie
Huyo mwanamke inavyoonekana ni kwamba mimi nimemkuta maana mimi na huyo kijana hatuna mda mrefu sanaKama mpaka hapo hujajua lengo la kupostiwa hiyo picha,basi huyo mwanaume alikua na haki ya kutafuta Mwanamke mwingine,
Inaonekana kua akili yako ya uelewa imelala usingizi,
Kifupi huna chako hapo,na hizo picha ulikua unapewa tu taarifa,na inawezekana kabisa kua huyo Mwanaume wako ndiye aliyemtuma huyo Mwanamke apost picha akiwa nae ili wewe uone,
Hiyo ni indirect msg kua huna chako hapo,umepigwa chini,labda utumiwe kama kipozeo tu.
Inaonekana imekuuma sana pole. Jibu muulize kwa sababu unataka kujuaKama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini
Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa marafiki zake nikaona na account ya huyo niseme mwanaume wetu
Basi nikampotezea sasa nashangaa ana like picha zangu zote kwenye account yangu nikasema labda ni kawaida
Sijakaa Sawa kapost picha yuko na mwanaume nilienae kwenye mahusiano ila kaweka share with only close friends kwaiyo kanitagg mimi tu huko mtandaoni.
Ikabidi niangalie post za mwanaume labda nitamjua ni nani maana account aliyonifollow haina picha.. uzuri nikakutana na jina kama lile kwenye comments section,
Ikabidi niikague ile account nikakuta ni kweli ni huyo mdada maana kuna picha zake
Na hiyo picha aliyopost inaonekana ilipigwa mwaka Jana July maana dada alijipost peke yake akiwa amevaa hiyo nguo na location hiyohiyo…
Mimi nili view tu sikumuuliza chochote wala mwanaume sijamuuliza kitu mpaka Leo siku ya 4
Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
Hizo red flag mbona mimi nilishazibadilisha zikawa green kiufupi yote aliyokuwa ananifanyia mwanzo nilimlpia na sasa yeye ndio anahangaika na mimi au hapo una maanisha niniUlishindwa kuzitambua hizi red flag tangu mapema,ndio maana ametumia another option kukuonyesha kua hakutaki.
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF.
Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda.
Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani! Halafu hayuko romantic, yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu), sawa haina tatizo maana nishazoea.
Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza. Kuna kipindi ilipita siku 2...
- kadogo2
- mahusiano mapenzi
- Replies: 221
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Nimeangalia post zako za nyuma na nimegundua kua hii ni CHAI,Huyo mwanamke inavyoonekana ni kwamba mimi nimemkuta maana mimi na huyo kijana hatuna mda mrefu sana
Alinambia tu kuna mwanamke waliachana sikutaka kujua sana ila mimi nimeanza nae mahusiano mwaka huu
Eeh kuniuma imeniuma ila kumuuliza kipengele atajiona kama anagombaniwa nimewazaInaonekana imekuuma sana pole. Jibu muulize kwa sababu unataka kujua
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu kila mdada anajionaga mzuri kwaiyo mwanaume anajua nani ni mzuri mimi sijuiWewe na yeye nani mzuri? Kama yeye pole. Kama wewe pole sana.
Wewe mwenye kazi mbona umeangalia post zote sio kwamba tutafute wote kaziNimeangalia post zako za nyuma na nimegundua kua hii ni CHAI,
Tafuta kazi ya kukuweka Busy.
UkimaanishaMwizi ni mwizi tu, haijalishi ni mwizi wa magari, ng'ombe, kuku au mdokozi wa nyama jikoni kama Shoko wa mitaara ya NECTA ya msingini. Kwahiyo usishangae sana MTU kumuiba MTU wa MTU, kwa sababu chamtu ni utu, chamtu huliwa na mtu.
Wewe una umri gani kwa sasa? Km ni below 18 muulize km ni above 18 kausha... ukitaka kumuuliza na upo above 18+ kwanza chonga mgomba wako uwe wako peke yako kisha anza kumuuliza kinyume na kausha fanya km hujaona.. halafu mboni huyo mtu hujaweka namba yake hapa au account yake ulitumiwa hio picha ili tuhakikishe kwamba hii sio Chai ya Maziwa?Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu