Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

Joined
Oct 8, 2018
Posts
8
Reaction score
23
Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo.

''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket.

''Mara ya pili unamtoa viwanja kama kawaida, unatumia pesa mnaenjoy bado binti hata hakushauri kupunguza matumizi ya pesa au kukushauri izo pesa mkawekeze sehemu, ndo kwanza anauliza week ijayo baby tunaenda kiwanja gani?

''Kaka kimbia fasta hamna mke hapo hilo ni jini, jaribu bahati sehemu nyingine.
 
Maongezi yangu na X jana.
Yeye: Hivi X hua unaserve hela kweli?
Mimi: Hapana.
Yeye: Jitahidi bhana hizi kazi hazitabiriki, Kuna kitu kinaitwa UTT nimeelekezwa mwaka huu kua ni nzuri hivo nimeanza kuweka hela, na wewe jaribu kuifuatilia
Mimi: Sawa, But deep down Roho inaniuma how stupid i was to let this women go.

Small Animal, popote ulipo just know that there is no time in life I ever feel loved like our time
 
mbona small animal tena😃
 
Back
Top Bottom