Aliyewarecord ndiye director mtoto alikuwa anaagizwa nn cha kufanyaVideo hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na mvulana huyo kupika, alimlisha mdogo wake aliyekuwa na njaa.
View attachment 1210702
Hizi n PhotoshopBinafsi nimeguswa na hii pichaView attachment 1210986
Hapana hiyo ni kweli, kuna blog inaitwa borndifferent humo ukiingia utakutana na watu zaidi ya hao tena wakihojiwa kwa videoHizi n Photoshop