Kaka na Dada wakipikiana na kulishana: Japo wana chini ya miaka 5

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Video hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na mvulana huyo kupika, alimlisha mdogo wake aliyekuwa na njaa.

hapa kama wanatupanga maana ni kama mahitaji yooote yameandaliwa na huenda kuna mtu nyuma ya camera anatoa maelekezo
 
Video hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na mvulana huyo kupika, alimlisha mdogo wake aliyekuwa na njaa.

View attachment 1210702
Aliyewarecord ndiye director mtoto alikuwa anaagizwa nn cha kufanya
 
Binafsi nimeguswa na hii picha
FB_IMG_1568835788141.jpeg
 
Back
Top Bottom