Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Video hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na mvulana huyo kupika, alimlisha mdogo wake aliyekuwa na njaa.