ostaaz
Senior Member
- Jun 27, 2021
- 174
- 132
Pole mkuu.
Wengi tumepitia huko, japo stories tofauti
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Wengi tumepitia huko, japo stories tofauti
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijaribu pia lakini mkuu akaniambia haitowezekana kwasababu kuna walimu wengi ambao wamejitolea lakini bafo hawajaajiliwa akaniambia kungekua hawapo walim hao wa kujitolea angenipa nafasHili tukio la mwaka gan?.
Nadhan options bado unazo.
Tafuta material mazuri alaf Omba/nenda kafundishe part time(shule ikulipe) au Tuition (wanafunzi wakulipe) kwenye shule uliyopiga vizur form four.
Naamin bado wanakukumbuka coz ulifanya wonders.
Ukipata uzoefu unasogea mjini na ufungue kituo kikubwa ili kupata wanafunz weng.