Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

Nilijaribu pia lakini mkuu akaniambia haitowezekana kwasababu kuna walimu wengi ambao wamejitolea lakini bafo hawajaajiliwa akaniambia kungekua hawapo walim hao wa kujitolea angenipa nafas
 
Unampigiaje kura mtu aliyekata tamaa? MBONA kama hauko sawa mkuu? Kuwa na imani; jiamini na epuka dhana potofu ya kujiona dhaifu.
 
Nipende kuwashukuru wote mliohusika katika kutoa muda wenu na kunishauri katika post yangu iliyopita ambayo kiukweli niliandika nikiwa katika stress ambazo zilikua zimenizidi kiukweli lakini kwa ukarimu wenu mkanishauri.
Shukuran za dhati pia kwa wale wote mlionifata inbox angalau kidogo moyo wangu umetulia japo still nawaza itakuaje kuhusu chuo na udahili unaisha tar 29 lakini Mungu yupo🙏
Mbarikiwe wote, am still fighting 💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…