Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Maana wanaijua wanaochati. Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno.
 
Habari wanajukwaa,

Jana wale vijana wenye uwezo wa kuburudisha, kufundisha na kuhamasisha (ROMA + STAMINA = ROSTAM) waliachia wimbo uliozua gumzo kwa ujumbe na ubunifu uliopo ndani yake.

Kuna mistari (mashairi) fulani wanasema hivi -:

R.O.M.A:
Nasikia Koyu Keza Mbochi

STAMINA:
'Mano Likwelikwe'

Kama mnakumbuka kuna mchezo ulikuwepo sana mashuleni, yaani watu wanaongea maneno kwa kinyume ili kumficha muhusika au watu wasielewe haraka.

Hivyo hapo walimaanisha hivi-:

R.O.M.A:
'Nasikia Yuko Zake Chimbo'..

STAMINA:
'Noma Kwelikweli'

Je walikuwa wanamsema Nani?

Msafwa,
Uporoto, Mbeya



Hata mm popoma nimefungua code[emoji276]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomben hiyo nyimbo hapa

Sent by IPhone
 
Back
Top Bottom