guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Tisha sana aiseeeMtoto wa spain mwenye fujo amesumbua insta live mpk youtube
Anapata support kubwa kwasababu tu ni mspain mwenye ( mzungu )
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tisha sana aiseeeMtoto wa spain mwenye fujo amesumbua insta live mpk youtube
Anapata support kubwa kwasababu tu ni mspain mwenye ( mzungu )
Sent from my iPhone using JamiiForums
Subiri atakukuja kukwambia "unajishebedua" 😀Je na mimi ninae iita sahani tisa au santraiza unanisaidiaje.
"Dada tuchati"
Aki sikuoelewa hayo maneno, thank you😀😀 hawa watu nomaa[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;
R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).
STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).
YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuchati tu kwakweli naona mambo si mambo😀😀
BigapKaka Tuchati Lyrics by ROSTAM
(Tongwe Records)
Oooii naona mtandao unakatika//
Upo kimya sana mkato au kunde imevunjika//
Na mtanyooka roundi hii//
Na hivi huwezi bila mimi?//
Najikuta Jay Z oya unarudi lini?//
Kaka huku wamefunga mipaka//
Ila tiketi nilikata nirudi kabla ya pasaka
Rudi ugeuze kisu sio//
Mwana wa kulitafuta mwana wa kulipata//
Round hii sio Ununio, daraja la Mkapa//
Kumekucha hivi saa ngapi huko nipe takwimu//
Nimeamka nishaweka bundle namngoja Ummy Mwalimu//
Anapambana yule dada//
Tanga nimewavulia kofia wametoa sanitizer za iliki//
Yaani ukipaka unanukia//
Hehehe Corona nishai yaani Bongo kila mtu daktari//
Masai kachemsha maji ya mpapai kanywa na sukari//
Buza hadi maski wanafua sijui ni nani kawafundisha//
Huku kuna dada kajifikiza mashetani akayapandisha//
Tueke siasa kando unajua uchumi unashuka//
Sio Bongo tu hadi ng'ambo watu wamefunga maduka//
Hapa nawaza pesa ya bango benki walokopa wanajuta//
Tukisema tukae ndani na hii njaa si tutakufa//
Hali inatisha na umasikini, tunaoumia ni sisi//
Yaani bora ufe kwa Ukimwi angalau utaandika urithi//
Kwa iyo hamna bata, sio kidimbwi sio tipsi//
Kaka madanga yamekata so hazitimbi hizo piece//
KIITIKIO
Bwana wa mabwana Mungu wa miungu//
Alpha na Omega nani kama wewe//
Bwana wa mabwana Mungu wa miungu//
Alpha na Omega nani kama wewe//
Hivi unakaa jimbo gani au Marekani//
Unajikinga vipi maana vifo vingi hadi siamini (Mmmh)//
Au umesharudi ipo zako Horohoro nini//
We bwana hebu niache mi nimeze chloroquine//
Umenikumbusha kweli Chloroquine ni dawa?//
Bado inafanyiwa uchunguzi ila haijadhibitishwa//
Ingawa ukinywa haitohatarisha ndio maana bado wanaigawa//
Mi ninakunywa maana nilishika uso kabla ya kunawa//
Eti unaweza ukawa nayo na usionyeshe dalili?//
Ewaah! Uko sahihi, na kingine kuhusu hili ni kwamba//
Mgonjwa wa Corona unaweza usimtambue kwa macho//
So mtu yeyote unayemuona mpe mita mbili toka kwako//
Na hiko kiVansileka ndo kinini baba wawili?
Ni ventilator, ni mashine ka mapafu ya nje ya mwili//
Mmmh sijaelewa hebu nieleweshe kuhusu hili//
Naskia vinauzwa ghali basi viwe vingi Muhimbili//
Okay, kirusi cha Corona kinashambulia mapafu//
Ndipo zinaanza homa, kifua alafu//
Unashindwa kupumua na mwili unahitaji tafu//
Ventilator huingiza hewa na kuitoa iliyo chafu//
Tuepuke mikusanyiko ikibidi tukae ndani//
Tumeambiwa tujifukize hivi ni dawa unadhani?//
Ngoja kwanza, hivi fumigation (Mmmmh mmh)//
Baba ile inaua mende eti (Hahaha wacha utani)//
KIITIKIO
Bwana wa mabwana Mungu wa miungu
Alpha na Omega nani kama wewe
Bwana wa mabwana Mungu wa miungu
Alpha na Omega nani kama wewe
Maisha ya upweke yanasumbua ila siku zinapita
Yule mkewe itunze pete
Mtayamaliza na uhakika kaka
Ila hatua dua haina haja ya kusikitika
Ila navyokujua hujazini miezi sita?
Kiukweli mi mwaminifu ingawa jogoo anawika
Mama Ivan mbabaifu haku-cheat una uhakika?
Kuna mchezaji wa Yanga namwona anapita pita
Nitamkata kata mapanga yaani namuua na namzika
Oyaah wape nyumbani basi pesa ya matumizi
Kaka nitoe wapi na show hakuna siku hizi?
Hali imekuwa ngumu hakuna pesa kila kona
Kila mtu unayemdai naye anasingizia Corona
Mbona sasa wanafunga shule na vyuo alafu bar hawafungi
Mzazi atamlindaja mtoto na akirudi yuko tungu?
Polisi India wanapiga watu wakisongamana
Wao barakoa hawana, jua defender wamebanana
Sasa wanatukusanya kutuambia tusikusanyike
Ila wauguzi wanajitoa sana, dah Mungu awalipe
Wapinzani mnatangaza vifo walopona hamwatangazi
Ah-ah wanasema wangeweka takwimu za wazi ingekuwa kizazi
Kwa hivyo lockdown hakuna alafu umeona text niliyotuma?
Ipi kwenye group mbona inbox hakuna?
Ah naskia (Nini?) koyuzeka mbochi
Maana uliko uliko usiongee sana inatosha
Hadi papai lina Corona dah (Kaka tuchati)
Mmmh ina mbuzi vipi? (Eeh eh kaka tuchati)
Mwili umekufa ngazi (Kaka tuchati)
Poa mwanangu tuendelee kujifukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Karantini ya mbowe nisiku 14 yule wachato hatamazishi ya waziri mahige yy hakwenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti msikilizaji mwenyewe kuamua amuweke nani. Mie namuweka Mbowe si kajifungia karantini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma Kali suijui lini Roma ataacha kuwatukana ccm
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoma Kali suijui lini Roma ataacha kuwatukana ccm
Dah!...noma hii Sasa.Mwana kulitafta Mwana kulipata... Round hii sio ununio ni daraja la mkapa
Msiojulikana Mpo?????
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Hii Ni Zaid ya fasihi"Naskia koyu zeka mbochi"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbavu zao[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaimbwa Jiwe apa[emoji41]“.... Bwana wa Mabwana Mungu wa Miungu Alfa na Omega Nani Kama wewe.... ”[emoji848][emoji848][emoji848]