Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Hao vijana ni Watanzania walioimba hivyo? Kwanini wanakuwa Wasaliti wa Nchi ?

Kwanini wanatumikia Mabeberu ?

Serkali msiruhusu huu uhuni
 
Nimefurahi kuona uzi umeunganishwa, hebu ona aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duduna
 
Walikushirikisha wakakwambia ulichoandika ndo walikuwa wanamaanisha? Kazi ya fasihi kila hadhira itatafsiri kulingana na ufahamu wake, na mazingira yake.. ukilaumiwa kutoa tafrisi yako yenye dhihaka kwa uongozi utakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…