Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Ngoja waje wakujibu hata mm sijaelelewa huu mstari
Sikiliza wimbo wa Roma unaoitwa zimbabwe unaweza kupata mwanga japo kidogo
Ila ukitaka kumuelewa nini kilichomkuta anza na 1. 2030
2. Viva roma viva
3. Zimbabwe
4. Kaka tuchati
Fuata mtiririko huo pengine utaelewa ule usemi wanaosema "Hip Hop Harakati"
yna2 TUCHATI
 
Hakuna sehemu waliyo mtaja rais wewe jamaa
 
Hao vijana ni Watanzania walioimba hivyo? Kwanini wanakuwa Wasaliti wa Nchi ?

Kwanini wanatumikia Mabeberu ?

Serkali msiruhusu huu uhuni
Toa amri polisi wajazane kwenye difenda bila barakoa tukawakamate
 
πŸ™πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nyimbo ni nzuri sana, ila kashida ni pale ambapo kale ka T-mobile kanapoonekana kwa roma na stamina kwani wote walikuwa marekani, maana T-mobile n mtandao wa U.S
 
Na kweny chai sikuizi tunaweka PIPI IVORY badala ya sukari.........Kaka tuchat
 
Mkuu umenifumbua,hii tikitaka ya hatari aisee,nilikuwa sijawasoma,hawa jamaa ubunifu[emoji817]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…