NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lao lipo pale pale shooting ya bukujero wanatumia tecno kurecord. Ndo maana kila cku atabaki juu chibu
Siku hiz wewe ndiyo unanijibu hivi Kweli??
Sikiliza wimbo wa Roma unaoitwa zimbabwe unaweza kupata mwanga japo kidogoNgoja waje wakujibu hata mm sijaelelewa huu mstari
Hakuna sehemu waliyo mtaja rais wewe jamaaNi maarufu kwa brother tuchat
Huu wimbo unasaambaa kama moto wa nyika huku ukibeba ujumbe wa kukosoa juhudi za serikali yetu wa kupambana na corona na kusema kuwa mh.rais amejificha chimbo maana kuwa amekimbia kwa kutumia lunga ya kiruguru
Huu ni wimbo wa kichochezi kabisa na upo wazi tu ,kwa nini wafunge nyimbo na nyimbo kama hizi ziachwe zisambae inamaana Luna double standard kwenye sheria
Mamlaka mpo Eng.kilaba upo waziri yupo fungieni huu wimbo haraka kwa kuwa kila mmoja wetu anaridhika juhudi za serikali za kupambana na corona hasa kuleta dawa na sio kweli kuwa mh. Rais amejificha mh. Rais yupo Kazini akihudumumia watanzania akiwa ikulu ndogo ya chato
USSRView attachment 1445794
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa amri polisi wajazane kwenye difenda bila barakoa tukawakamateHao vijana ni Watanzania walioimba hivyo? Kwanini wanakuwa Wasaliti wa Nchi ?
Kwanini wanatumikia Mabeberu ?
Serkali msiruhusu huu uhuni
Hutaniwi??Siku hiz wewe ndiyo unanijibu hivi Kweli??
Sent by IPhone
Stress za kuachwa na wewe au..??Mwache Huyo ana stress
Sent by IPhone
Ubunifu wa kiwango cha SGR sio "Asubuhi niamshe na Kimoko" Kaka TuchatHumu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu.
Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu
Haha jamaniJaman VP huko chumbani mpo salama,naona kimya kimezidi
Unazingua bwanaNaona jamaa anakunyatia nyatia...
Mi nawachora tu
Nazinguaje tenaUnazingua bwana
Mkuu umenifumbua,hii tikitaka ya hatari aisee,nilikuwa sijawasoma,hawa jamaa ubunifu[emoji817][emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;
R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).
STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).
YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)
Sent using Jamii Forums mobile app