Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Mzee asiye na showoff nasikia ana singo ya hatari ya corona
 
Wasanii Roma na Stamina wametoa wimbo mpya unaozungumzia gonjwa la korona-moja ya videos inaotrend Sana mtandaoni hasa namna video yake ilivyofanyika ukizingatia Roma yupo USA na Stamina yupo tz,video imechezwa kwa video call inavutia haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…