Dreamliner787
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 562
- 362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafundi hadi kwenye satanizers😀Hatari kwamba Tanga mafundi
Humu wameizungumzia Corona, hut ndo tunaitaubunifu.
Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu
Sanitizer ya iriki(aromant)Mafundi hadi kwenye satanizers😀
Makuzi mabovu...si unamwona manaye alivyo hovyo?Bora huyo sasa,yule mwingine muda huu anawaza matusi mapya ayatungie nyimbo.... aibu gani hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀
Sanitizers sio satanizer huo usingizi Bora uutendee hakiMafundi hadi kwenye satanizers😀
Nimependa pale Stamina anaposema "Hali imekuwa ngumu hakuna pesa kila kona kila mtu unayemdai nae anasingizia Corona"Mashairi yao yamenifurahisha nimecheka, eti "Tanga wametengeneza Sanitizers za Iriki ukipaka unanukiaa"[emoji3]
I know na nimeandika hivo tu ,pia unaweza ita Samtizers😀Sanitizers sio satanizer huo usingizi Bora uutendee haki
Poa..kwema?
Yaani nimecheka nimeuangalia zaidi ya mara 2,nimependa ubunifu wao😀Nimependa pale Stamina anaposema "Hali imekuwa ngumu hakuna pesa kila kona kila mtu unayemdai nae anasingizia Corona"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema bibie...naomba tuchat pm, usichukulie poa rafiki nina jambo muhimu usipuuzie dadanguPoa..kwema?
Poa mpendwa.K
Kwema bibie...naomba tuchat pm, usichukulie poa rafiki nina jambo muhimu usipuuzie dadangu
hahahaaaaaa we jamaa hovyoooSanitizers sio satanizer huo usingizi Bora uutendee haki