Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Duh asante mkuu, hii sikuielewa kabisa ila ngoma imetulia sana, creativity 100%
 
[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;

R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).

STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).

YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo makini sana, nilikuwa najaribu kuelewa pale nikawa natoka patupu
 
Watu ohhhhhh tusiombe kwa siku tatu-rostam wameweka kwaya bwana wa mabwana Mungu wa miungu wewe Ni Alfa na Omega (tumtumainie Mungu)-kujifukiza sawa japo Hana uhakika,wapo vzr,lockdown wamepinga watu tutakufa njaa-trump mwenyewe karuhusu
 
[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;

R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).

STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).

YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa watoto ni wajinga sana hawa [emoji23], binafsi nilikuwa sijaelewa hiyo mistari ya mwisho. Kudos Rostam wimbo mzuri, video nzuri.
 
Back
Top Bottom