Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
KAKA USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE
Kaka nakuibia siri mwanamke hapendi kutumia mto kuegeesha kichwa chake chunguza uone
Mwanamke hupenda kulaza kichwa chake kwenye kifua cha mwanaume wake au alaze kichwa chake kwenye bega au kwenye mkono kwa mwanaume wake hasa anayekupenda
Mwanamke hujihisi amani sana akilala na mwenza wake kichwa chake kikawa kwenye mwili wa mwanaume wake kipenzi chake
Kuna wakati usiku wa manane hufumbua macho na kumtazama mwanaume wake kisha hutabasamu. Wanaume wasichokijua mara nyingi mwanamke hufumbua macho mara nyingi kuliko mwanaume akiwa amelala
Mwanaume akiutoa mkono au akimuondoa kifuani mwanamke hujirudisha hata ukingeuka utashangaa yuko na yeye kashajingeuza.
Mwanamke akikutazama na akapata hisia huanza kukupasa kama hutoamka basi atakuita jina lako au atakusemesha ili ufumbue macho kisha atie huruma za kihisia ili umdinye.