BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Kaka mdogo wa mwanadada machachari katika mtandao wa Instagram, Bi. Mange Kimambi ameonekana akiwa ofisini kwa RC Makonda wakiwa na furaha kupitiliza.
Hii ni siku chache tu baada ya mwanadada huyo kutoa povu la kleesoft baada ya mdogo wake kuonekana na RC huyo ambaye ni hasimu wake mkuu.
Rejea: Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda