Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyani umekuwa mstaarabu sana siku hizi, kulikoni?.Anaweza kumaliza nusu mbuzi huyo?
nyani umekuwa mstaarabu sana siku hizi, kulikoni?.
uwezo wa kumwambia mdogo wake ajipendekeze kwa serikali ili kulinda mali?Mange hana uwezo huo
Now i got your pointNadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
Ndiyo tatizo la kuzaliwa nalo sasa.Acha hizo ww..wengine ni mabonge wakuzaliwa
Laana unaijua?Mange unapingwa mpaks na ndugu zako sababu ukosefu wa adabu.Laana hiyo
Kama ndugu ana akili za kushikiwa unategemea asimpinge?Mange unapingwa mpaks na ndugu zako sababu ukosefu wa adabu.Laana hiyo
Hata yusufu alipingwa na ndugu zake kwa hiyo naye Alikuwa ana laana???Mange unapingwa mpaks na ndugu zako sababu ukosefu wa adabu.Laana hiyo
Alitolewa upepoo auKama yule muhindi rafiki wa Rugemarila..