Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Anil Hajapungua?Toka Namjua 2010 Yupo vile vile sijui bangi ameacha kuvuta,bora ajikombe kombe kwa makonda maana ule mjumba wao ukichukuliwa sijui itakuwa na keshazoea kufanya houseparty mara kwa mara
 
unajifanya unamjuuuwa mwenyewe!!! Wabongo bwana mixer kushangaa eti hajapungua tu!!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
uwezo wako wakufikili wakawaida sana ndugu sijui unawaza nini kichwani mwako.
 
Lilo,kumjua Namjua toka 2010 nikampotezea siyo kwamba najifanya namjua namjua kindakindaki alikuwa anasoma uingereza,likizo naonana nae,bata kwa sana tu,alikua anatembelea hammer
unataka zaidi?
 
Anil Hajapungua?Toka Namjua 2010 Yupo vile vile sijui bangi ameacha kuvuta,bora ajikombe kombe kwa makonda maana ule mjumba wao ukichukuliwa sijui itakuwa na keshazoea kufanya houseparty mara kwa mara
amu mimi mbona nimekumiss sana hu hali gani?........
 
Back
Top Bottom