Ebwaneee wewe akili kubwa sanaaaaaaaaaNadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
Kaka mdogo wa mwanadada machachari katika mtandao wa Instagram, Bi. Mange Kimambi ameonekana akiwa ofisini kwa RC Makonda wakiwa na furaha kupitiliza.
Hii ni siku chache tu baada ya mwanadada huyo kutoa povu la kleesoft baada ya mdogo wake kuonekana na RC huyo ambaye ni hasimu wake mkuu.
Rejea: Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda
View attachment 747784
Kama yule muhindi rafiki wa Rugemarila..Tutamtoa upepo awe mwembamba
Anakula 25% ya kigagula