Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia

29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!

====================
Na bhana Duli nikwambie kitu kimoja, siku nyingine kabla ujatuma salamu uliza CV yangu fanya utafiti kidogo, kwa sababu wewe unaishi familia ya kimalikia hujui mapambano ya watu maskini, hujui shida za Watanzania.

Young Boy unapaswa kunyamaza na upate hekima kidogo ukasaidie famila yako wapate hekima kidogo. Ukinifanya nitume salama kama nilizotuma tusilaumiane

​
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa anasubiri nini kuchukua hatua?

Uhai wa mdogo wake haupi uzito kwa kiasi chake maana ni siku ya 4 sasa hawajasikia chochote kutoka kwake ?

Kama anachukua hatua achukue mapema na anatakiwa kufahamu anadili na wauaji waliojitoa akili na utu kabisa maana matendo wanayofanya sio ya kawaida.
 
Huyu nahisi kama ana mipango mizito, si amesema anajua alipo na hata aliumia wapi wanajua, kuna kitu nahisi wanasubiri, nahisi wanasubiri ile kesi yao, ili wapate pa kuanzia
 
Mkuu unafikiri anaweza kuchukua hatua gani? Haya maneno ya kujirekodi au kutishia kua nitasema hivi au vile,kwa muda huu sidhani kama yana impact yeyote ile,

Anatakiwa awe tu makini sana kwa muda huu.
 
Kuna mahali niliuliza huyu kweli ni Kaka yake Polepole kweli? Sikujibiwa!
 
Anasubiria perfect moment ushawaahi kuleenga shabaha hata kwa kutumia manati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…