Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Solution ni kuunda tume? Hiyo tume inaundwa na nani , itapeleka report kwa nani alafu ili nani achukuliwe hatua?
Hapa kitu kinacholeta hatari ni kutokuwa na IMANI na vyombo vya USALAMA; hakuna jamii inayoweza kufunction bila IMANI; Hata Mamlaka zote zinazofanya extra-judiciary killings wanafanya hivyo kwa siri; Kwahio TUME ikiundwa sio sababu tu ya kupata ukweli nani alifanya nini bali kuunganisha pande zote ambazo zinarushiana lawama hivyo wakishaleta Findings zao mambo yasukwe upya na tuanze upya...

2022 walikuja na kikosi kazi, kikakusanya maoni , wakaja na tume ya haki jinai. Lipi limefanyiwa kazi katika hiko kikosi kazi na tume ya haki jinai
Naam umenijibu point yangu kwa kujijibu mwenyewe (HAUNA IMANI NA UCHUNGUZI WOWOTE) kwahio TUME iunganishe pande zote na ikibidi tuombe msaada kutoka nje (Taasisi ambayo huenda wote tutaiamini hata kama ni Scotland Yard) ikishirikiana na Pande zote zinazoshutumiana....

Amini nakwambia that is the only option (sababu a country without Police / Vyombo vya Usalama is not a Country) but a Failed State and Power Ubhors a Vacuum bila Polisi utakuwa na Gangs tofauti tofauti fighting for territories and answering to no one but the guys who pays protection money....
 
Hapa kitu kinacholeta hatari ni kutokuwa na IMANI na vyombo vya USALAMA; hakuna jamii inayoweza kufunction bila IMANI; Hata Mamlaka zote zinazofanya extra-judiciary killings wanafanya hivyo kwa siri; Kwahio TUME ikiundwa sio sababu tu ya kupata ukweli nani alifanya nini bali kuunganisha pande zote ambazo zinarushiana lawama hivyo wakishaleta Findings zao mambo yasukwe upya na tuanze upya...

Naam umenijibu point yangu kwa kujijibu mwenyewe (HAUNA IMANI NA UCHUNGUZI WOWOTE) kwahio TUME iunganishe pande zote na ikibidi tuombe msaada kutoka nje (Taasisi ambayo huenda wote tutaiamini hata kama ni Scotland Yard) ikishirikiana na Pande zote zinazoshutumiana....

Amini nakwambia that is the only option (sababu a country without Police / Vyombo vya Usalama is not a Country) but a Failed State and Power Ubhors a Vacuum bila Polisi utakuwa na Gangs tofauti tofauti fighting for territories and answering to no one but the guys who pays protection money....
Mkuu amka usingizini.
Walikuja na kikosi kazi
Walikuja na time ya haki jinai
Walikuja na maridhiano
Walikuja na 4R

Hayo yote wameyaweka pembeni, hakuna hata moja lililofanikiwa.
Hiyo unayoita kuunganisha pande zote ni kupoteza muda, sababu watatafutwa vyama kaa tlp, udp n.k, alafu watatafutwa masheikh na wachungaji machawa alafu mtaambiwa tumeskiliza Makundi yote. Baada ya hapo business as usual. Amka
 
Write your reply...huyo sio kaka wa pole pole ila ni mtu anaitumia hiyo nafasi kupenyeza chuki na ajenda zake
Mnacho waeleza waTanzania sasa waziwazi, ni kuwa mkivuka tu Oktoba 29; nchi hii inakuwa mali yenu na mtakuwa na uhuru wa kufanya lolote mtakalo kulifanya bila ya kizuizi chochote

Hii ikitokea, itakuwa bahati mbaya sana kwa taifa hili.

Ndiyo maana, Samia na Genge lake lote, ni lazima azuiwe kuvuka Oktoba 29 kwa njia zozote ziwezekanazo..
 
Jamaa anasubiri nini kuchukua hatua?

Uhai wa mdogo wake haupi uzito kwa kiasi chake maana ni siku ya 4 sasa hawajasikia chochote kutoka kwake ?

Kama anachukua hatua achukue mapema na anatakiwa kufahamu anadili na wauaji waliojitoa akili na utu kabisa maana matendo wanayofanya sio ya kawaida.
Naona kachokozwa maksudi kabisa na Abdul.
Namshauri aache hii njia ya kufikisha ujumbe; wakati huu ni kufanya kazi kimya kimya, kama kuna kazi ya kufanya.

Huku kujitangaza kunavuruga kila kitu.
 
Naam, na ndio nilichomaanisha hawa watu anaodili nao kwa sasa hawana utu wala akili hivyo asisubiri hadi wamteke na yeye.
 
Back
Top Bottom