Hii mikwala mbuzi na muendelezo wa kuleta mizaha kwenye mambo serious hii nchi tumepotea sana na kitakachotibu huu ugonjwa ni kupata TUME ya wanaoamini na wasioamini (wote wasioaminiana kufanya uchunguzi once and for all ambao hitima yake ni kutupa watu gerezani) na kama ndani hatuwezi hata tuite watu kutoka nje...
Sababu naona tunazidi kulea vidonda, na watu kurusha majina hapa na pale... na ni kwamba huyu Abdul ni new Recruit au alikuwepo tangia ujinga huu unaanza kuchoza-chomoza ?
Imani / Kuaminiana kwenye vyombo vya dola ni moja ya nguzo muhimu sana; angusha hio basi naturally state inaangukia kwenye anarchy..... Nilasema haya kitambo sana....
“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”
Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika kwa kusema huenda fulani amesingiziwa au aliyeshikwa ndiye, sio.
Kwahio sababu Kuaminiana ni Muhimu sana Katika Ustawi wa Jamii ni muhimu tukarudisha imani hiyo hususan kwa taasisi ambazo zinatulinda.
Hivyo binafsi nashauri sababu watu Hawana Imani na pande zote...