Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

There's a big difference between being "pieces of flesh" that made an indelible mark behind, and pieces of trash that caused suffering to an entire nation; as witnessed under the regime of Samia Suluhu Hassan and her gang.
Kwa umri wako miaka 60+ umeshafurahia sana maisha umeona ngoma iko sakika ya 95 umeamua kuhamasisha machafuko ili uondoke na wengi mtego huo hatutauingia kamwe
 
Kuna dalili za kujua ni Simba yupi atakula nyama....! na waenga walisema "Simba mwenda pole". Sasa unauona usimba wa kula nyama kwa huyu ndugu!!!?
Kama hatuwezi wasaidia kumpata Ndugu yao, nadhani pia tusiwapangie au “kujidai” kuwa concerned na mbinu wanazotumia.

Kama sisi ni werevu na watu wa mkakati tuwatafute tuwape mbinu, au tuingie barabarani kulazimisha ndugu yao apatikane.

Hatuwezi kufanya hivyo? Basi tukaushe tu.
 
Kuna dalili za kujua ni Simba yupi atakula nyama....! na waenga walisema "Simba mwenda pole". Sasa unauona usimba wa kula nyama kwa huyu ndugu!!!?
Huwa sikatai kitu moja kwa moja Wala kukubali mpaka kitapotokea. Yapo mengi ambayo hayakuwezekana lakini yaliwahi kutokea, hiyo ndio iliofanya niseme hatujui ana hizo strategies au hana.
 
Kwa umri wako miaka 60+ umeshafurahia sana maisha umeona ngoma iko sakika ya 95 umeamua kuhamasisha machafuko ili uondoke na wengi mtego huo hatutauingia kamwe
Hili la "umri" limekukaa kichwani sana.
Hivi Samia anayo miaka mingapi? Yeye anacho cheti cha kuwaharibia waTanzania wote bila kujali umri wao matarajio mema ya maisha yao?.

Mwambie Samia hayo maneno, ndiye "mhamasishaji mkuu" wa yote yatakayo tokea..
 
Back
Top Bottom