Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia

29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!

====================
Na bhana Duli nikwambie kitu kimoja, siku nyingine kabla ujatuma salamu uliza CV yangu fanya utafiti kidogo, kwa sababu wewe unaishi familia ya kimalikia hujui mapambano ya watu maskini, hujui shida za Watanzania.

Young Boy unapaswa kunyamaza na upate hekima kidogo ukasaidie famila yako wapate hekima kidogo. Ukinifanya nitume salama kama nilizotuma tusilaumiane

Huyu msanii tu kama Keptein Tesha. Watu wa vitendo hufanya mambo yao kimya kimya tu. Angekuwa serious sasa hivi tulipaswa kuwa na msiba na siyo kusikia vitisho.
 
Kaka wa polepole mmoja ni sawa na wanaume 1000 wa Tanzania. Yani tumefika hapa kwasababu ya wanaume kutotimiza wajibu wao. Kenya tu hapo wanaume wamesimamia kucha Ila hawa wa kwe tu mhh watu wanatekwa yanaangalia tu
Mabilioni yanaibwa yanaangalia tu
Kazi wanayojua ni kumbato tu
 
Wanawake wa kikenya wanajua kuifinyia kwa ndani hii inawapa nguvu na hamasa kwa wanaume zao kutimiza wajibu.
 
Huwezi kuzuia kwa kuandika JF. Kama unataka kuzuia fanya sasa siyo kulialia hapa
Wewe umejua vipi nazuia kwa kuandika JF; na wewe unanijibu JF ili iweje?

Samia na Genge lote; mkiwemo na nyinyi walamba makombo ya hao wanaowafuga, siku yenu mwisho ni Oktoba 29. Usifikiri kuna mchezo hapa tena.
Haya siyo maswala ya JF tena.
 
Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia

29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!

====================
Na bhana Duli nikwambie kitu kimoja, siku nyingine kabla ujatuma salamu uliza CV yangu fanya utafiti kidogo, kwa sababu wewe unaishi familia ya kimalikia hujui mapambano ya watu maskini, hujui shida za Watanzania.

Young Boy unapaswa kunyamaza na upate hekima kidogo ukasaidie famila yako wapate hekima kidogo. Ukinifanya nitume salama kama nilizotuma tusilaumiane

Hapo anazyngumzia uchaw na msjini
 
Ataishia kuongea tu huyu. Hao anao watisha wana mkono mpana sana, kama kweli alikuwa amemaanisha angeruka nao kimya kimya tungeona tu majibu.
 
From what i can see..huyu hana stratergy yoyote..sorry mnaoendeshwa kwa mihemuko
 
Bado wapambania uhuru wa tz wanambinu za kishamba kwanini hawaigi kule kweny macartel south America
 
Sasa amejipanga? Au anataka kuzingua kama mdogo wake aliyedakwa kiurahisi tu wakati wengine tulidhani ni Jasusi hodari.
Hata kama angedakwa sayari ya Mars, bado haikuwa sahihi kudakwa kwa sababu hakuna hatia yyt kwa mujibu wa katiba ya JMT, Serikali inayofanya mambo kwa kificho na kwa matakwa ya wachache ni genge la wahuni waliokosa maarifa ya kuongoza!
 
Kubalini tu hamna impact kwa taifa.
Kwanza hata mcheza mpira haruhusiwi kumbato akiwa na mechi serious.
Mnatuangusha Sana wanaume
hapana sidhani kama inahitaji nguvu kiasi hicho..mashine
 
Back
Top Bottom