Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Haujawahi kuwaga na utimamu mavi wewe

Haya reply upuuzi ili usuuze nafsi yako
20251024_001219.jpg
 
Tuko kwenye kuhitimisha kampeni zetu huku mwanza mjuba. Hizi nyuzi msipumzishe uchaguzi upite kwa amani
 
Wewe mbona kama una-support mambo ya hovyo yanayofanyika?Unamnanga huyo jamaa, ulitaka afanyaje,ajilipue bomu kama magaidi.Hicho ndo resistance aliyofikiri anaweza kufanya....kashindwa basi life linasonga, ni sawasawa na kumcheka mtu anayelia msibani.
 
Mzee wa Vyanzo vyangu vya kuaminika .... Kumbe Stori unaokota UKWAMANI hapo.
Idiot. Nimekuuliza thibitisha lini Mimi GENTAMYCINE nimesema kuwa ni Mtu wa TISS?

Frustrations na Stress zako za Ugumu wa Maisha uliyonayo sasa usizihamishie Kwangu tafadhali sawa? Pambana na hali yako kwani kwa level yangu ya sasa Wewe ni TAKATAKA tu Kwangu.

Mtake msitake Samia ndiyo Rais tena wa Tanzania na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea Kutawala Tanzania na mtanyooshwa mno tu pale mkitaka kuleta Machafuko Tanzania.

Na bado......!!!!!!! Kudadadeki. Haya karibuni Mnitukane kwa Mihasira na Chuki zenu juu ya hii Comment / Post yangu kama kawaida yenu.
 
Wewe mbona kama una-support mambo ya hovyo yanayofanyika?Unamnanga huyo jamaa, ulitaka afanyaje,ajilipue bomu kama magaidi.Hicho ndo resistance aliyofikiri anaweza kufanya....kashindwa basi life linasonga, ni sawasawa na kumcheka mtu anayelia msibani.
Na bado.... mtanyooshwa sana tu.
 
Tarehe yenyewe si ndo leo?

Mkivunjwa miguu mkalazwa hosp halaft mkipona mnaamkia mahakamani itakuwa shwari!
 
Idiot. Nimekuuliza thibitisha lini Mimi GENTAMYCINE nimesema kuwa ni Mtu wa TISS?

Frustrations na Stress zako za Ugumu wa Maisha uliyonayo sasa usizihamishie Kwangu tafadhali sawa? Pambana na hali yako kwani kwa level yangu ya sasa Wewe ni TAKATAKA tu Kwangu.

Mtake msitake Samia ndiyo Rais tena wa Tanzania na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea Kutawala Tanzania na mtanyooshwa mno tu pale mkitaka kuleta Machafuko Tanzania.

Na bado......!!!!!!! Kudadadeki. Haya karibuni Mnitukane kwa Mihasira na Chuki zenu juu ya hii Comment / Post yangu kama kawaida yenu.
Punguhani unaandika walaka ukizongwa na ujuaji.
 
Back
Top Bottom