Kaka wa Polepole karibu mchezoni. Kumbuka kanuni ni zilezile hazijabadilika

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako. Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro. Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Wewe wakufunge kamba usije ukaanza kuokota makopo
 
Wewe ni nan mafwele, abduli, Samuya au mkwe!? Au kibarua tu.
 
Mwenye kufahamu anijuze kuhusu hili kundi la Redcross 26, linaundwa na akina nani na lina malengo gani?
Utawajua tuu subiri. Ni mapema sana waache waendelee na mipango yao wakidhani hatuwaoni
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Mimi nakuzingatia sana ila naomba mwachieni polepole tafadhalini hii nchi yetu sote
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Msalimie yule mwenzenu wa Goba...sisi ni wale watazamaji...
Kila la kheri
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Mimi nakuzingatia sana ila naomba mwachieni polepole tafadhalini hii nchi yetu sote kama katenda makosa afikishwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
KWANI ,KOSA LA POLEPOLE NI LIPI?

KOSA LA GWAJIMA NI LIPI ?
 
Back
Top Bottom