Kaka wa Polepole karibu mchezoni. Kumbuka kanuni ni zilezile hazijabadilika

Huyu kima ni mmoja wa wauaji. Najaribu kufuatilia kila anachoandika na kusoma between the line.
Sio department ya sales and marketing?😅

Wauza hofu.

Watu wenyewe hawana hata hela ya kununua. Nimecheka sana kwenye page ya Petro Magoti, watu wamemchamba wala hawaogopi kwamba wanatumia profile zako na picha wamjipost.
 
Kitu nilichogundua kwa haraka ni 1. Mzanzibar 2. Ana connection na mambo yanayoendelea ndani, haya ya utekaji na uuaji. Mpaka sasa naanza kuingiwa wasiwasi na kifo cha Ndugai.
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Na yeye mnataka kumteka mkuu?mnaitaka familia nzima?
Asee mkuu unapenda sana damu za watanganyika wenzako.
Mkitumaliza mtamuongoza nani sasa?
 
Tupendane wakuu, maisha haya ni vitu vya kupita tu.
 
Kitu nilichogundua kwa haraka ni 1. Mzanzibar 2. Ana connection na mambo yanayoendelea ndani, haya ya utekaji na uuaji. Mpaka sasa naanza kuingiwa wasiwasi na kifo cha Ndugai.
Mimi nafikiri hao ndio wanazidi kumuharibia boss wao maana utekaji ungekuwa una mafanikio basi ndio wangekua wamewamaliza wakosoaji badala yake tukio likitokea wanaibuka wengine sasa je watateka watu milioni 70?

Mbaya zaidi matukio yanavyoongezeka ndio yanamuongezea kutokukubalika ndio maana mimi nawaona hao watekaji hawana akili na strategy za maana mwisho wa siku watazidi kujaa chuki watu wataanzq kuwinda hata familia zao sasa wakimaliza wanawageukia wao na hata kugeukana hii chuki lazima itazaa matokeo maana hakuna upande utakaoukubali kuonewq na ndio hata nchi zenye waasi ukichunguza chanzo kinaanza hivi hivi.

Leo asubuhi kwenye mtandao wa X nimeona watu wametoa details za familia ya Mafwele iliyoko uhamishoni South Africa kuanzia mtaa, barabara, namba ya nyumba na nambari na aina za magari sasa kama tumefikia huku nini kitafuata ?

Wao kama hawaoni busara ya kukaa mezani na kufanya maridhiano ya kweli kwa mustakabali wa nchi badala yake wanatumia nguvu ndio watakuwa watu wa kwanza kuitumbukiza nchi kwenye machafuko kuliko raia , maana itafika hatua watu wataanza kujihami kimakundi na ndio hapo yatazaliwa magenge hatari kama ya Amerika kusini.
 
Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.

Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.

Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.

Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Kwaiyo wewe

Kumbuka mshahara wa zambi ni umauti endeleeni kutenda zambi zenu ila tambueni siku zenu zinahesabikq mkimchukua polepole mmoja wanazaliwa wengine tisa
 
Mwalimu wa shule ya msingi huyu ambaye ni Mgonjwa wa akili huyu asikusumbue. Hana genge lolote huyu labda genge la nyanya..
Ualimu na Uzi wa kutafuta kazi it was a decoy.
Wake up.
 
Wewe wakufunge kamba usije ukaanza kuokota makopo
Huyu siyo wa kumpuuza. Alisema kiongozi wa dini ataongea 26/10/2025. Kweli Gwajima kaongea. Ukiona Kuna kitu humu mtu kaongea hujaelewa ujue ujumbe siyo wako, wahusika wanaelewana.
 
He deceased kwa kukubali kuwatumikia watu waoga.

Also very stupid kununua ugomvi na hawa watu na kujiamini kuishi Tanzania.

Polepole wasn’t clever and his demise (hata kama) inakera inaeleza uwezo mdogo wa watu wanaopewa nafasi serikalini.

How stupid can you be, kwa namna Polepole alivyoishi.

Kuna culture ya watanzania kuchukulia life very simple.

Japo hii mijamaa ina roho mbaya, na miuaji; uwezi ondoa upuuzi wa Polepole he was simply stupid.

Hakuna mtu anaeweza nunua ugomvi na serikali halafu akakaa kwenye hiyo nchi na kudhani yeye ni invisible; Polepole was stupid.
 
Looks like you could say the same thing to Gwajima.
He too acknowledged on 26 Oct 2025 is still in hide inside Tanzania.
Kwa hivyo inaonesha nyuma yao kuna watu wapo ndani ya mfumo waliwaaminisha watawalinda.
Polepole was either betrayed or there was a lapse in their defense strategy.
 
Looks like you could say the same thing to Gwajima.
He too acknowledged on 26 Oct 2025 is still in hide inside Tanzania.
Do you know his hide about?

I don’t think he is taking his safety lightly.

Otherwise many of us, understanding how brutal this people are (that’s just common sense) expected Polepole given his exposure to government and CCM information would defy the leadership whilst living in Tanzania.

That was just stupid (being over confidence) with his illogical beliefs on heavenly protection.

I supported his movement, but surprised on the level of his stupidity.

He dead right know, these is a killing regime.
 
Back
Top Bottom