October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Wewe wakufunge kamba usije ukaanza kuokota makopoTumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako. Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro. Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Wewe ni nan mafwele, abduli, Samuya au mkwe!? Au kibarua tu.Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako. Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro. Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Wewe ni nan mafwele, abduli, Samuya au mkwe!? Au kibarua tu.
Mwenye kufahamu anijuze kuhusu hili kundi la Redcross 26, linaundwa na akina nani na lina malengo gani?Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini
Utawajua tuu subiri. Ni mapema sana waache waendelee na mipango yao wakidhani hatuwaoniMwenye kufahamu anijuze kuhusu hili kundi la Redcross 26, linaundwa na akina nani na lina malengo gani?
Mimi nakuzingatia sana ila naomba mwachieni polepole tafadhalini hii nchi yetu soteTumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.
Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.
Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Msalimie yule mwenzenu wa Goba...sisi ni wale watazamaji...Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.
Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.
Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Mimi nakuzingatia sana ila naomba mwachieni polepole tafadhalini hii nchi yetu sote kama katenda makosa afikishwe mahakamani sheria ichukue mkondo wakeTumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.
Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.
Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Mwalimu wa shule ya msingi huyu ambaye ni Mgonjwa wa akili huyu asikusumbue. Hana genge lolote huyu labda genge la nyanya..Unajikuta Mungu Mtu wewe na genge lako sio? Wewe Hautakufa?
TUTAKUWEPO
Swali zuri sana.Mwenye kufahamu anijuze kuhusu hili kundi la Redcross 26, linaundwa na akina nani na lina malengo gani?
Mwalimu wa shule ya msingi huyu ambaye ni Mgonjwa wa akili huyu asikusumbue. Hana genge lolote huyu labda genge la nyanya..
KWANI ,KOSA LA POLEPOLE NI LIPI?Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako.
Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini.
Yule mwanadada wa nje ya nchi naye kashaingia kingi ni suala la kusubiri oda tubonyeze barani. Weeye kama unategemea hao waandamanaji nakuhakikishia ni bora ujisalimishe mapema bro.
Najua ni ngumu kwani unampigania nduguyo. Tukutane uwanjani. Na bado!
Watu wanapenda kujipa umuhimu balaa!
Watu wanapenda kujipa umuhimu balaa!
Kamjibu instagramu huku JF imefungiwa hatapata ujumbe.
😅