Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema:
“Ukumbuke alivyoshambuliwa Miaka 7 iliyopita na kutakiwa kuuawa, mpaka sasa hivi hakuna upelelezi wowote umefanyika, hakuna taarifa yoyote ambayo Jeshi la Polisi limetoa hadharani kueleza kwanza huyo mwathirika (wa kushambuliwa na risasi, Tundu Lissu), familia pamoja na Watanzania kwa ujumla wamefikia wapi? Hakuna ripoti kama hiyo.”
Soma, Pia: Binafsi sishangai kwa Tundu Lissu kuwa tracked, kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwanini alipigwa risasi